Endelea kumtetea mkuu,yaani ile shombo ya juzi ndio ikutoe usingizini? Kashavurunda mangapi kwani,endeleeni kupiga zumari tu hadi siku damu zikiwatoka masikioni ndio mtaelewa.Nlikuwa namtetea sana Makonda ila kwa upumbavu wake alioongea jana nmemdharau sana!
Jamaa ni kama hajatoka kijijini vile yani. Maneno kama yale ilitakiwa waongee kina Rizi one watoto wa mjini wasiojua shida za watu huko mashambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah we nawe unamsikiliza Yule wenzio wote tushampuuza siku nyingi tu! Sasa Kati ya Asie na kitambulisho/namba ya nida na Mwenye cheti feki nani alikuwa anashinda muda mwingi gest[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Leo nyuzi za NIDA zinaungwa ungwa utafikiri Jf wamekua fundi minyororo.
wengine 2metimiza miaka 18 wiki iliyopita co sio kosa le2Wabongo tuache kulalamika mimi nilienda nida pale kinondoni mwaka 2018 mwezi wa 3 nilikuta kweupee hakuna watu nikajaza form nikakaa wiki nikaenda kupiga picha baada ya wiki 2 nikapata kitambulisho .. ukiwauliza watu miaka yote hiyo walikua wapi watakwambia foleni
Wacha sheria zitunyooshe tu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kukuzimia line ni mtandao wa simu na siyo TCRA. Tena siyo kuzima, Ila ni kukufungia kutumia huduma zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana mzima kaka nina mada nataka kukushirikisha naomba nikupate ktk inbox yako plz bro.
Unaweza kuona wewe umesajiliwa, ila unaowategemea wote hawajasajiliwa hapo ndio utajua kumbe hujui!Hizo sheria zitawanyoosha wote waliosajiliwa na wasiosajiliwa, mawasiliano hayachagui ukishamkosa mtu wako muhimu kisa hajajisajili ndio utajua hii sheria imemnyoosha nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaximwa ndio nn?
Amesahau km ni kodi za watanzania yy anajua pesa yakeKutishana ndiyo tabia ya Mwafrika. Nikulipe mshahara mimi halafu umchague mpinzani.
Mwenye namba za TCRA aziweke humu niwapigie simu maana naona wanazingua sana.
Mimi kitambulisho cha nida ninacho tangu January mwaka jana, lakini kwa jeuri sijatumia kusajilia line.
Nilijuwa tu hawawezi kufungia, siendeshwi na mihemko mimi
Wabongo tuache kulalamika mimi nilienda nida pale kinondoni mwaka 2018 mwezi wa 3 nilikuta kweupee hakuna watu nikajaza form nikakaa wiki nikaenda kupiga picha baada ya wiki 2 nikapata kitambulisho .. ukiwauliza watu miaka yote hiyo walikua wapi watakwambia foleni
Wacha sheria zitunyooshe tu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijachochea jamani kiongozi ila ndo ukweli wenyewe huu hata wale ambao bado hawajapata number ndo hawatafatilia kabisaaaa