Mimi Ni mwana Yanga ila kitendo chetu jana kuanza kupost Jf katikati ya kipindi Cha pili kilikuwa Cha woga sana kisijirudie aisee
Nyie Yanga waoga mno... JK alisema mko baridiii kama Tikiti.Mimi Ni mwana Yanga ila kitendo chetu jana kuanza kupost Jf katikati ya kipindi Cha pili kilikuwa Cha woga sana kisijirudie aisee
say no to wawa,say no to bocco say no to uchebeeeAsalaam Tanzania na nje ya Tanzania..Karibu katika burudani ya soka ya kiwango cha juu kilichothibishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, kutoka kwa Simba SC, WanaLunyasi, Mnyama Mkali Mwituni
Kuelekea Ligi Mabingwa Afrika, Jumapili Agosti 25, 2019 Mabingwa wa Nchi Simba SC, wanawakaribisha UD Songo, kunako Uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudiano baada ya sare ya kutofungana katika mechi awali ilipigwa nchini Msumbiji.
Kocha Patrick Aussems, amesema Simba SC wapo tayari kufanya kila inavyowezekana katika mchezo huo kufanikisha ushindi dhidi ya UD Songo ili kuweza kufuzu hatua inayofuata.
"Tupo tayari na tunajua tunataka kushinda, tutafanya kila kitu kufanikisha hilo. Tunatakiwa kuwa makini tunajua tunakutana timu nzuri na mchezo utakuwa mgumu lakini TUNAJIAMINI". Amesema kocha Patrick Aussems.
•••Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
WanaSimba, Wanachama, Mashabiki Kindakindaki na mdau wa kabumbu, maandalizi yote kuelekea mchezo huo yamekamilika, kwahivyo ni jukumu letu kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi kuishangilia mwanzo mwisho Simba SC, ambao wataupiga mpira mwingi mno..UD Songo watautafuta mpira kwa Tochi.
Usikose Ukaambiwa..WeAreSimba SC, NguvuMoja This Is Next Level.View attachment 1189396View attachment 1189397
Kila la kheri watani zetu(Piere liquid FC)Asalaam Tanzania na nje ya Tanzania..Karibu katika burudani ya soka ya kiwango cha juu kilichothibishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, kutoka kwa Simba SC, WanaLunyasi, Mnyama Mkali Mwituni
Kuelekea Ligi Mabingwa Afrika, Jumapili Agosti 25, 2019 Mabingwa wa Nchi Simba SC, wanawakaribisha UD Songo, kunako Uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudiano baada ya sare ya kutofungana katika mechi awali ilipigwa nchini Msumbiji.
Kocha Patrick Aussems, amesema Simba SC wapo tayari kufanya kila inavyowezekana katika mchezo huo kufanikisha ushindi dhidi ya UD Songo ili kuweza kufuzu hatua inayofuata.
"Tupo tayari na tunajua tunataka kushinda, tutafanya kila kitu kufanikisha hilo. Tunatakiwa kuwa makini tunajua tunakutana timu nzuri na mchezo utakuwa mgumu lakini TUNAJIAMINI". Amesema kocha Patrick Aussems.
•••Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
WanaSimba, Wanachama, Mashabiki Kindakindaki na mdau wa kabumbu, maandalizi yote kuelekea mchezo huo yamekamilika, kwahivyo ni jukumu letu kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi kuishangilia mwanzo mwisho Simba SC, ambao wataupiga mpira mwingi mno..UD Songo watautafuta mpira kwa Tochi.
Usikose Ukaambiwa..WeAreSimba SC, NguvuMoja This Is Next Level.View attachment 1189396View attachment 1189397
Ungeanzisha uzi wewe sasa unamraumu nani?Mimi Ni mwana Yanga ila kitendo chetu jana kuanza kupost Jf katikati ya kipindi Cha pili kilikuwa Cha woga sana kisijirudie aisee
Timu ni Azam tu hakuna timu hapa Tanzania
Wawa yupo vizuri hapa tatizo Boko tu yupo kwa hisani ya mganga wakesay no to wawa,say no to bocco say no to uchebeee
Na hivi Leo Mvua imenyesha lazima tumkalishe Songo + Yanga.Asalaam Tanzania na nje ya Tanzania..Karibu katika burudani ya soka ya kiwango cha juu kilichothibishwa na Shirikisho la Kabumbu Barani Afrika CAF, kutoka kwa Simba SC, WanaLunyasi, Mnyama Mkali Mwituni
Kuelekea Ligi Mabingwa Afrika, Jumapili Agosti 25, 2019 Mabingwa wa Nchi Simba SC, wanawakaribisha UD Songo, kunako Uwanja wa Taifa ukiwa ni mchezo wa marudiano baada ya sare ya kutofungana katika mechi awali ilipigwa nchini Msumbiji.
Kocha Patrick Aussems, amesema Simba SC wapo tayari kufanya kila inavyowezekana katika mchezo huo kufanikisha ushindi dhidi ya UD Songo ili kuweza kufuzu hatua inayofuata.
"Tupo tayari na tunajua tunataka kushinda, tutafanya kila kitu kufanikisha hilo. Tunatakiwa kuwa makini tunajua tunakutana timu nzuri na mchezo utakuwa mgumu lakini TUNAJIAMINI". Amesema kocha Patrick Aussems.
•••Kulitaka Mwana..Kulipewa Mwana
WanaSimba, Wanachama, Mashabiki Kindakindaki na mdau wa kabumbu, maandalizi yote kuelekea mchezo huo yamekamilika, kwahivyo ni jukumu letu kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi kuishangilia mwanzo mwisho Simba SC, ambao wataupiga mpira mwingi mno..UD Songo watautafuta mpira kwa Tochi.
Usikose Ukaambiwa..WeAreSimba SC, NguvuMoja This Is Next Level.View attachment 1189396View attachment 1189397
Ahahahaaaa mtani itakua umesahau hata ubingwa wa Ligi Kuu bara mmepewa na TFF kwa mtindo wa viporo. Simba hamna kitu kabisa.Tatizo hizo zilizotangulia tuna mashaka na uwezo wao, huoni kuwa mwaka mmoja tu Simba SC amewabeba wengine..NguvuMoja[emoji23]
Afu wkt huohuo mlikua mnataka mhahirishe may mechi yenu ijayo ya ligi,Ahahahaaaa mtani itakua umesahau hata ubingwa wa Ligi Kuu bara mmepewa na TFF kwa mtindo wa viporo. Simba hamna kitu kabisa.
Tumeshawazoea... nyie wenye timu mlibeba nini?Ahahahaaaa mtani itakua umesahau hata ubingwa wa Ligi Kuu bara mmepewa na TFF kwa mtindo wa viporo. Simba hamna kitu kabisa.