..Kuelekea Mechi Kati SImba Na Yanga uwanja wa taifa saa 10 jioni..

Agustino Regnald

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
501
Reaction score
428
kuelekea mechi ya simba na yanga jioni itakapo fika saa kumi jioni mechi baina ya watani hao wa jadi

[HASHTAG]#thread[/HASHTAG] hii ni kujuana kwanza ushabiki wetu isije baada ya mechi tukashidwa hata kusalimiana pm bahan na vi utani kidogo..........
[HASHTAG]#NaishabikiaYanga[/HASHTAG]
nitaipiga simba 3-0


 
Simba kama neno simba lenyewe lilivyo.
 
Yanga vs Simba mechi ni sare amini usiamini hayo ndio yatakuwa matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…