M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Oct 24, 2011 #1 Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one. My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta visingizio ooh wachezaji walikuwa hawajazoea mfumo wa kocha mpya.
Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one. My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta visingizio ooh wachezaji walikuwa hawajazoea mfumo wa kocha mpya.
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,249 Oct 24, 2011 #2 Nimeiona kwenye blog ya shaffih dauda
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 25, 2011 #3 Sawa tu.
Manumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 1,746 Reaction score 1,283 Oct 25, 2011 #4 very poor tactical and technical move by Yanga...kwa wana yanga, things are not looking gloomy on you this weekend
very poor tactical and technical move by Yanga...kwa wana yanga, things are not looking gloomy on you this weekend
Igabiro JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 242 Reaction score 27 Oct 25, 2011 #5 Naona hawa Yanga wanataka wakifungwa wasitafute mchawi, kwani watasingizia kuwa wana mwalimu mpya...du na hiyo ni strategy nzuri kabisa
Naona hawa Yanga wanataka wakifungwa wasitafute mchawi, kwani watasingizia kuwa wana mwalimu mpya...du na hiyo ni strategy nzuri kabisa