Kuelekea mechi ya Kesho; Mnyama ana haya ya kuwajuza wa pili

Mkuu tunaposema tunashinda ndani na nje ya uwanja tunamaanisha uwanjani tutawapiga goli za kutosha, na ushindi wa nje ya uwanja ndo kama huu.

Yule mganga wenu mmempa hela ya kutosha ?
 
Yule mganga wenu mmempa hela ya kutosha ?

Mkuu sina taarifa kama ushindi wa Mnyama dhidi ya Yanga.. hua unachagizwa na nguvu za nje ya uwanja.
Mganga wetu pekee ni Dylan Kerr, ambaye kashamaliza kazi yake... Na huyu hatudai hata shilingi 10, ila sisi ndo tunamdai matokeo mazuri katka mechi ya leo.
 
Naona Mkuu unabishana na kocha bora kabisa wa utimilifu wa mwili kuwahi kutokea ulaya ya mashariki.. Mtalamu Momclovic... Alafu nadhani unaizungumzia Simba S.C ya msimu uliopita.

mkuu huyo kocha wako bora wa utimilifu wa mwili kuwahi kutokea c ndo simba leo lazima afungwe
 
Hizi habari ni confidential sana ni ngumu sana wewe kuwa nazo
 
Hizi habari ni confidential sana ni ngumu sana wewe kuwa nazo

Haha.. Sasa kama hadi wewe unazo, kwanini bado unaziita confidental?
 
sembo tuwe pamoja mwisho wa mechi halahala usije kimbia

Mkuu usijali tutakua pamoja.. na sasa nipo taifa, nasubiri kushudia haya maangamizi tutakayoyapeleka Jangwani.
 
Naona Mkuu unabishana na kocha bora kabisa wa utimilifu wa mwili kuwahi kutokea ulaya ya mashariki.. Mtalamu Momclovic... Alafu nadhani unaizungumzia Simba S.C ya msimu uliopita.

Ungetazama mechi dhidi ya Kagera Sugar usingalibisha kwa kiwango hiki. Ona sasa aibu iliyokupata
 
Ongeza sauti Mkuu sembo sijakusikia vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…