Kuelekea mechi ya simba dhidi ya al ahly msimu wa 2020/2021:kauli mbiu ya simba ingekuwa hivi.

Kuelekea mechi ya simba dhidi ya al ahly msimu wa 2020/2021:kauli mbiu ya simba ingekuwa hivi.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?

Kuelekea mechi ya simba na al ahly pale kwa mkapa licha ya kauli mbiu iliyopo ya total war :no point of return.

Nilikuwa naona ingekaa hivi ndio ingekuwa vizuri zaidi WAR IN DAR :THE RETURN.yaani WIDA:THE RETURN.

Wangeendeleza ile kauli waliotumia kuwafunga wale platinum kwa kuongezea tu the return kwamba vita imerudi tena .wangeendeleza ile kauli mbiu ya mwisho tu na sio kuweka nambo mengi.

WIDA:THE RETURN.
Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom