Kuelekea mechi ya simba na al ahly pale kwa mkapa licha ya kauli mbiu iliyopo ya total war :no point of return.
Nilikuwa naona ingekaa hivi ndio ingekuwa vizuri zaidi WAR IN DAR :THE RETURN.yaani WIDA:THE RETURN.
Wangeendeleza ile kauli waliotumia kuwafunga wale platinum kwa kuongezea tu the return kwamba vita imerudi tena .wangeendeleza ile kauli mbiu ya mwisho tu na sio kuweka nambo mengi.