Msimu naona wamejipanga.Patamu hapo..Mwenye mpira wake na mwenye mpira wa kukamia mechi moja..[emoji23]
Alisikika mlevi mmoja akisemaLeo lazima TUNDU litobolewe
Pole mikia..mnaanikiza vimechi vya mchangani...AS Kagera sugar wako vizuri mechi tatu wameshinda mfululizo na babu Nyoso ndani Kagere na Mbrazil wavalisheni pampas...
Nyie Vyura mna Wenge.. Na mnaigopa Simba SC balaa, na safari tunawapiga Tano..!mikia FC buana........
Naona leo mpo ugenini nchini Bukoba mnacheza na Club Athletic Du Kagera Sugar.Shadeeya bingwa wa nchi yuko mawindoni leo, usije kusema hukuambiwa.
Simba nguvu moja
Teh teh teh hii inanikumbusha mwaka 1984Mkuu, ligi si ndo kwanza mechi tatu, si unaona anayeshika mkia huko unadhani atabakia hapo hapo
Hiyo nafasi ni ya mwenyewe hivi soon..!
Kikosi kipo sawa, tuna asilimia kubwa kuibuka na ushindi na kuzoa hizo alama tatu muhimu..SimbaNguvuMoja
Na siku ile ya UD Songo alidonoa maindi mangapi,au hakuwepo?Kuku kaisha donoa maindi mawili, Simba inashinda goli mbili
AiseeeNaona leo mpo ugenini nchini Bukoba mnacheza na Club Athletic Du Kagera Sugar.
Naona leo mpo ugenini nchini Bukoba mnacheza na Club Athletic Du Kagera Sugar.