Kuelekea mechi ya VPL: Simba SC na Mtibwa Sugar. Itakuwa mechi kali kuwahi kutokea VPL

huyo mlipili sahau, atapangwa yule tall mbrazil anaekimbia kama anasukumwa kisa umri, Simba tumefeli sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Mechi na Pilisi Moshi.

Huyo Babu alipigwa chenga ya kuzunguka akadondoka na hakuamka tena Hadi Goli ninafungwa. Straika akampenyezea mfungaji kulia kuna beki Mzee Kennedi, kushoto kuna beki Mzee Shamte, forward akaipress katikati wakawa wanamsindikiza tu kwa macho miguu inagoma, mfungaji akaweka kambani.

Ukingalia lile Goli hakika utagundua tofauti ya kuwa na wachezaji vijana na wazee.

Tatizo la Simba Sports Club ni kujaza

"WACHEZAJI WENGI WAZEE"

(Julio)



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtibwa Sugar leo mtatusamehe, hata goli la mkono kama Tambwe tutafunga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo Vitoroli FC Leo mnapigwa, mark my word. Tukutane jioni SAA 12.30
 
leo wanacheza dada mtu na shangazi yake--tutarajie mauno ya kufa mtu.
 
Kwa kikosi cha leo hata tukifungwa sina lawama kwa Kishingo.
 
Hii ndio First 11 ya Simba ninayoijua Mimi hata tukifungwa nitaamini ni matokeo ya mpira Kishingo bana Bocco na Kagera wanatakiwa kuanza pamoja siku zote Boya wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…