Kuelekea mkesha wa x-mas wanawake kuweni makini na waume zenu!

Jakubumba

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
1,624
Reaction score
501
Ni ukweli usiopingika kwamba wanaume sio waaminifu ktk mapenzi ukilinganisha na wanawake! Ktk utafiti niliofanya nimegundua kuwa asilimia 80 ya wanaume sio waaminifu ukilinganisha na asilimia 20 ya wanawake. Ktk mkesha wa x-mas wanaume hujifanya wanaenda kanisani kumbe wana mambo yao mengine. Haiingii akilini mwaka mzima unamuona mkeo au mpenzi wako anaenda kanisani wewe umelala then unakuja kukurupuka siku moja tu kwa mwaka. Hivo basi ni jukumu la wanawake kufuatilia mienendo yetu ktk sikukuu hizi maana inaaminika ndoa nyingi hukumbwa na dhuruba wakati huu. Tumsifu yesu kristu!
 
80% kwa 20% ?
Acha mchezo wewe.

Hata hivyo wahusika wamekusikia, watasindikizana.
 
milele amina

haya wenye waume warning hiyoooooooooooooooo.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…