Pre GE2025 Kuelekea Mkutano Mkuu, Wanachama wa CHADEMA wakumbushwa kulipia ada zao

Pre GE2025 Kuelekea Mkutano Mkuu, Wanachama wa CHADEMA wakumbushwa kulipia ada zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama hicho imewakumbusha Wanachama wote wa Chama hicho kulipia kadi zao ili kuwapa uhalali wa kushiriki vikao muhimu vya Chama chao ifikapo January 21

Zaidi Tangazo lao hili hapa

Screenshot_2025-01-03-18-12-36-1.png
 
Teh teh teh bwana lomolomo alipie wapiga kura wake kadi vinginevyo watachinjiwa baharini!
 
Sahihi ni chanzo cha mapato ya Chama
  • michango
  • wahisani
  • ada
  • ruzuku
  • nk

Wanachama ni muhimu kulipa, Chama kinafanya wajibu wake kuwa kumbusha wanachama wake.

 
CCM tunawaza Lissu akichukua uenyekiti alf mwenyekiti msaidizi Heche,zama zetu zitakuwa zinaelekea mwisho
 
Back
Top Bottom