Pre GE2025 Kuelekea Mkutano wa Katibu Mkuu CHADEMA; Waandishi wa Habari wazuiwa na kuondolewa eneo la mkutano makao makuu ya chama

Pre GE2025 Kuelekea Mkutano wa Katibu Mkuu CHADEMA; Waandishi wa Habari wazuiwa na kuondolewa eneo la mkutano makao makuu ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

Pia soma
- Pre GE2025 - News Alert: - Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

mnyika.jpg
 
Pale Chadema inapata nguvu bila kutumia gharama.
 
Back
Top Bottom