Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
ngapi ukoooooooo
Atakuja saivi kweli huyo? Subiri mpira uishe akiambulia japo sare(maana kwa Yanga huo ni ushindi) utamuona hapa fasterπππHahhahahah mm huwa simuelewagi @shadeeeya ukujeee dada akee
Weraaaaweeeeraaaaa
Atakuja alfajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shadeeya ukuje bwana
Injinia soooomaaa hiyoooongapi ukoooooooo
Halafu ataleta mada nyingine kabisaa sio hii tenaAtakuja alfajiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shadeeya ukuje bwana
Weraaaaweeeeraaaaa
Lakini tusiwaumize sana ni ndugu zetu hawa, nyumba yao isijekuwaka moto wakipigana wenyewe kwa wenyewe pale JangwaniOyooooooo kama waarabu wanaokuja na ndege ya kifalme tuliwachachafyaa hawa wanaokuja na Costa tuwafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ataleta mada nyingine kabisaa sio hii tena
Anamalizia kuangalia dakika chache zilizobaki labda kuna matumaini kiasi kwa upande waoAkija uniite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo sijui vipi maana miaka yote kwenye gemu na Yanga hua anatulia sana
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Umetisha sana mkuuOyooooooo kama waarabu wanaokuja na ndege ya kifalme tuliwachachafyaa hawa wanaokuja na Costa tuwafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tusiwaumize sana ni ndugu zetu hawa, nyumba yao isijekuwaka moto wakipigana wenyewe kwa wenyewe pale Jangwani
Yaelekea mechi na Warabu hukuangalia kwa pressureπππHahahaha jaman mm naipenda sana simba japo kuna muda napata pressure lakin leo wamejua kunikuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaelekea mechi na Warabu hukuangalia kwa pressureπππ
Na mpira umekwishaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anamalizia kuangalia dakika chache zilizobaki labda kuna matumaini kiasi kwa upande wao