Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #101
Umeharibu kumuweka ArsenalMan Utd
Man City
Chelsea
Arsenal
Utabiri wako unaenda vizuri japo bado mechi kadhaa kabla ya kufungwa kwa pazia la msimu huu.Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
umetokotaMan city
Arsenal
Chelsea
Liverpool
tupe feedback mkuuLiverpool?????
Unasemaje sasa?Sijui ubavu wa kutamka hayo maneno umepata wapi!!!!!
Inahitaji mwanadamu mwenye roho ngumu kama ya Mohamed Alli kuweza kutamka hayo maneno
But, this is the truth
1. Man utd
2. Chelsea
3.Arsenal
4. Man city if Coutinho will leave Liverpool, if not, vice versa
We jamaa nimekukubali... Hapo 3 na 4 naona zitaswap...Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
Bet won
nafufua kaburi hili hahahahahahahaSijui ubavu wa kutamka hayo maneno umepata wapi!!!!!
Inahitaji mwanadamu mwenye roho ngumu kama ya Mohamed Alli kuweza kutamka hayo maneno
But, this is the truth
1. Man utd
2. Chelsea
3.Arsenal
4. Man city if Coutinho will leave Liverpool, if not, vice versa
we ni zaidi ya mchawiiiiiiiiiiiiiiiiiiMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
upo wapi ujeKabla ya msimu uliopita kuanza Chelsea ilisemwa vibaya na Wengi waliieka man u top four
Mtu mwenye heshima kwenye soka kama ferguson akitoa chelsea had nje ya top six lakin likichokuja kutokea hakuna asiejua
tukutane february kuelekea march
Wee jamaaa n genius wa milembe kabisaa duuuu,,,, umetushaaaMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
Umesha fufuliwa uje Huku..Kumbukeni kuwa huu utabiri unaishi, mezi may 2018 utafukuliwa huu uzi ili kuona wenye utsbiri wa kweli.
United
City
Chelsea
Spurs
Liverpool
Asernal
Evarton
Leicester
Westham
mkuu rudi utoe neno japo kwa ufupiKabla ya msimu uliopita kuanza Chelsea ilisemwa vibaya na Wengi waliieka man u top four
Mtu mwenye heshima kwenye soka kama ferguson akitoa chelsea had nje ya top six lakin likichokuja kutokea hakuna asiejua
tukutane february kuelekea march
Utabiri wako unakaribia kuwa kweli.Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
We jamaa ni noma sana. Yametimia aisee. Big upMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
daaahMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
We jamaa nenda tu kwa Mhindi ukachukue mzigo wako.Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.