Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?Wadau wa michezo na wafuatiliaji wa ligi yetu vpl ni wazi wanajua nini kinaendelea j mosi ni siku ya kuanza kutabiri japo kwa asilimia 48 nani atakua bingwa 2015/2016 kule mchangani mtanisamehe kidogo hapa naongelea timu za kimataifa zitapokutana karibuni kwa mawazo.
Ushauri wangu kwa plujin asimuanzishe tambwe nimepata taarifa kua wawa kampania sana hivyo aingie kipind cha pili na mawaziri wa ulinzi asibabaike wote ni balaa, karibuni taifa.
naitakia Azam Ushindi wa kishindo , tofauti ya mabao iwe kama tofauti ya madiwani wa UKAWA na CCM ndani ya JIJI la Dar Es Salaam
Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?
Waulize dada zenu Simba wanajua vidume gan walipitia mlango wa uwani ile tarehe 20. Sembuse ninyi vitoto vya shule mkipewaga chipsi tu mnaachia!!!!!!Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?
Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?
Utamuona hapo hapo uwanjani!Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?
Malaria imepanda kichwani!Tatizo washabiki na viongozi wa Yanga.Akili zenu zinaongozwa na mjinga Jerry Muro.Kila anachosema mnafwata.Yanga ni timu ya Tanzania tu,haina hadhi ya kimataifa.
Azam ni wepesi mno ila tatizo la Yanga ni kuridhika mapema, mechi nyingi wanatawala mchezo lakini wakipata goli moja tu kuongoza wanaanza kupoteza muda kwa kuamini wameshinda mpaka Azam wanasawazisha ndio wanashambulia tena wakati muda umeshaisha. Pia Msuva aambiwe ukweli tabia yake ya kutaka afunge yeye tu hata maeneo yasiyoruhusu ningekua kocha ningempa BAN kwa ujinga aliofanya kwenye gemu ya Simba.azam analala mapemaaa.............