LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Hii ni nchi moja isiyo na Dini ila watu wake wana Dini, Wapemba mkiwa huku bara hata muwe eneo lenye wakristo wengi ikifika kwarezma ukipakua chakula chako hakuna anaehangaika nawewe
Zanzibar unakuta polisi wanakamataga watu wanaokula mchana how?, wewe ukimkuta mtu anakula inaharibu nini funga yako, Imani nyingine zikiwa zanzibar ukifika huu mwzi wanaishi kwa tabu mtu kula inabidi ajifiche hii imekaaje mbona mkiwa bara kwarezma hamli kwa kujificha mna uhuru