Hii ni nchi moja isiyo na Dini ila watu wake wana Dini, Wapemba mkiwa huku bara hata muwe eneo lenye wakristo wengi ikifika kwarezma ukipakua chakula chako hakuna anaehangaika nawewe
Zanzibar unakuta polisi wanakamataga watu wanaokula mchana how?, wewe ukimkuta mtu anakula inaharibu nini funga yako, Imani nyingine zikiwa zanzibar ukifika huu mwzi wanaishi kwa tabu mtu kula inabidi ajifiche hii imekaaje mbona mkiwa bara kwarezma hamli kwa kujificha mna uhuru
Ni ngumu maaana kule sio hukuHii ni nchi moja isiyo na Dini ila watu wake wana Dini, Wapemba mkiwa huku bara hata muwe eneo lenye wakristo wengi ikifika kwarezma ukipakua chakula chako hakuna anaehangaika nawewe
Zanzibar unakuta polisi wanakamataga watu wanaokula mchana how?, wewe ukimkuta mtu anakula inaharibu nini funga yako, Imani nyingine zikiwa zanzibar ukifika huu mwzi wanaishi kwa tabu mtu kula inabidi ajifiche hii imekaaje mbona mkiwa bara kwarezma hamli kwa kujificha mna uhuru
Naomba kujua katika ukristo, jee kuna sharia ya kuwa ikifika KWAREZMA, wakristo wote wanatakiwa wafunge?Hii ni nchi moja isiyo na Dini ila watu wake wana Dini, Wapemba mkiwa huku bara hata muwe eneo lenye wakristo wengi ikifika kwarezma ukipakua chakula chako hakuna anaehangaika nawewe