Kuelekea Mwisho wa Mwaka: Niwatakie Kila La Heri Wajumbe kwa Mwaka Ujao 2018

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Ndugu wana jukwaa, nichukue fursa hii kuwatakia mwisho mwaka mwema, pia mwaka mpya wa 2019 wenye mafanikio.

nimejifunza mengi na pia kutoa elimu kwa mengi sana ambayo nina ueledi nayo.

tuendelee kushiriki kikamilifu kwa mijadala motomoto yenye tija na masilahi yenye kina ya jukwaa letu.

kwa mara nyingine tena niwatakie mapumziko mema ya mwisho/mwanzo mwaka.
aksante.
 
Kuelekea Mwisho wa Mwaka 2018: Niwatakie Kila La Heri Wajumbe kwa Mwaka Ujao 2019.

nawaomba mods wanisaide kurekebisa heading ili isomeke kama hii hapa juu.
aksante.

CC: Mod One
 
Dah! Ndio hivyo kamwaka kameisha, haya bana asante, pia nawe kajumuike na ndugu na familia uvuke mwaka kwa amani tukutane jukwaani mwaka ujao tuendeleze darasa.
Wengine wetu huku ndio fursa ya kuitalii nchi yetu.....
 
Ok vizuri SANA.
hata mimi niko kijijini na watu wa ukoo. tunajumuika pamoja.
 
Mnajumuika pamoja kufanya matambiko yenu ya kiukoo ya kila mwaka eeh? [emoji1] Haya basi jombaa, nakutakia mwaka mpya wa 2019, uliojawa na mafanikio. Chunga sana usije ukanywa pombe za kienyeji kupindukia.
 
Ahaaa haaa haaa
huku ni mwendo wa makalapusi tu.
maisha matamu. no stress. no reports. etc etc.
huku ni full shangwe.
 
Ndugu wana jukwaa, nichukue fursa hii kuwatakia mwisho mwaka mwema, pia mwaka mpya wa 2019 wenye mafanikio.

nimejifunza mengi na pia kutoa elimu kwa mengi sana ambayo nina ueledi nayo.

tuendelee kushiriki kikamilifu kwa mijadala motomoto yenye tija na masilahi yenye kina ya jukwaa letu.

kwa mara nyingine tena niwatakie mapumziko mema ya mwisho/mwanzo mwaka.
aksante.
Tatizo jirani anaumaliza vibaya....Battle ya Dar VS Nai imewaacha na maumivu....!!😅😅😅
chicken-losing-feathers-on-its-entire-body.jpg
 
Merry Christmas guys , keep up the good spirit, personally learning a lot through everyone’s comment and insights . Appreciate that .

Ahaaa haaa haaa
mzee NDINDA unaonekana kwa manati SANA. upo kaka?
nakuaminia sana unapotupa updates za picha. excellent, tunategemea mengi zaidi KUTOKA kwako katika mwaka mpya ujao 2019.
 
hahaha, nipo mkuu, tupo pamoja.😀
 
Be blessed wanazengwe wote... Mlisema Magu anapenda kuweka jiwe la msingi! Sasa miaka ya kuzindua miradi yake inasogea. Tuta anza na April, 2019
 
mwaka unavyozidi kwisha, napenda kuwatakia mwaka ujao 2019 wenye mafanikio na fanaka.
 
Siku zinaizidi kusonga, mwaka mpya unaelekea kwisha SASA.

muwe na KIPINDI chema cha mapumziko ya mwisho mwaka.
 
TAHADHARI.
Bandugu tuwe na tahadhari kwa hawa madereva Wa bodaboda hasa mwisho huu Wa mwaka.
Jana nilibebwa na mmoja wao,ili anipeleke nyumbani.
Kwa kweli cha kushangaza baada ya kushuka na kumpa Hera yake,alianza kunifuata nilipokua nakatiza uchochoro ili nifike nyumbani kwani alinishusha Barabara kuu.
Kwa kweli nilipomuona ananifuata nilikwenda kasi,ajabu nae alienda kasi,ingawa pikipiki yake alikua ameipaki Barabara kuu.
Nilipoona hivyo nikaanza kukimbia,nae akaanza kunikimbiza.nilihofu kunyang'anywa hera zangu ambazo tayari alikuwa kaziona wakati namlipa.
Niliongeza speed tena na tena,lakini nae aliongeza pia.
Kwa kweli nilichoka na kusimama.alinifikia akiwa na hasira.
Moja kwa moja alipeleka mikono yake kwenye.kichwa changu na kuchomoa HELMET Yake ambayo kumbe nilisahau kumrudishia nilipo shuka.
TUWE MAKINI NA HELMET ZA WATU TUSILETE USUMBUFU.
ASANTENI
 
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo jirani anaumaliza vibaya....Battle ya Dar VS Nai imewaacha na maumivu....!!😅😅😅View attachment 976446
MELISSA THE SLAY QUEEN. KRISMASI ILIKUWAJE?
TAHADHARI.
Bandugu tuwe na tahadhari kwa hawa madereva Wa bodaboda hasa mwisho huu Wa mwaka.
Jana nilibebwa na mmoja wao,ili anipeleke nyumbani.
Kwa kweli cha kushangaza baada ya kushuka na kumpa Hera yake,alianza kunifuata nilipokua nakatiza uchochoro ili nifike nyumbani kwani alinishusha Barabara kuu.
Kwa kweli nilipomuona ananifuata nilikwenda kasi,ajabu nae alienda kasi,ingawa pikipiki yake alikua ameipaki Barabara kuu.
Nilipoona hivyo nikaanza kukimbia,nae akaanza kunikimbiza.nilihofu kunyang'anywa hera zangu ambazo tayari alikuwa kaziona wakati namlipa.
Niliongeza speed tena na tena,lakini nae aliongeza pia.
Kwa kweli nilichoka na kusimama.alinifikia akiwa na hasira.
Moja kwa moja alipeleka mikono yake kwenye.kichwa changu na kuchomoa HELMET Yake ambayo kumbe nilisahau kumrudishia nilipo shuka.
TUWE MAKINI NA HELMET ZA WATU TUSILETE USUMBUFU.
ASANTENI
😀😀😀😀😀😀😀
Happy new year
 
Back
Top Bottom