Mnajumuika pamoja kufanya matambiko yenu ya kiukoo ya kila mwaka eeh? [emoji1] Haya basi jombaa, nakutakia mwaka mpya wa 2019, uliojawa na mafanikio. Chunga sana usije ukanywa pombe za kienyeji kupindukia.Ok vizuri SANA.
hata mimi niko kijijini na watu wa ukoo. tunajumuika pamoja.
Mnajumuika pamoja kufanya matambiko yenu ya kiukoo ya kila mwaka eeh? [emoji1] Haya basi jombaa, nakutakia mwaka mpya wa 2019, uliojawa na mafanikio. Chunga sana usije ukanywa pombe za kienyeji kupindukia.
Tatizo jirani anaumaliza vibaya....Battle ya Dar VS Nai imewaacha na maumivu....!!π π πNdugu wana jukwaa, nichukue fursa hii kuwatakia mwisho mwaka mwema, pia mwaka mpya wa 2019 wenye mafanikio.
nimejifunza mengi na pia kutoa elimu kwa mengi sana ambayo nina ueledi nayo.
tuendelee kushiriki kikamilifu kwa mijadala motomoto yenye tija na masilahi yenye kina ya jukwaa letu.
kwa mara nyingine tena niwatakie mapumziko mema ya mwisho/mwanzo mwaka.
aksante.
Tatizo jirani anaumaliza vibaya....Battle ya Dar VS Nai imewaacha na maumivu....!!π π π View attachment 976446
Uzuri wakuwa Tanzania ni Umoja wetu.πππAhaaa haaa haaa
huku ni mwendo wa makalapusi tu.
maisha matamu. no stress. no reports. etc etc.
huku ni full shangwe.
Merry Christmas guys , keep up the good spirit, personally learning a lot through everyoneβs comment and insights . Appreciate that .
hahaha, nipo mkuu, tupo pamoja.πAhaaa haaa haaa
mzee NDINDA unaonekana kwa manati SANA. upo kaka?
nakuaminia sana unapotupa updates za picha. excellent, tunategemea mengi zaidi KUTOKA kwako katika mwaka mpya ujao 2019.
AiseeTAHADHARI.
Bandugu tuwe na tahadhari kwa hawa madereva Wa bodaboda hasa mwisho huu Wa mwaka.
Jana nilibebwa na mmoja wao,ili anipeleke nyumbani.
Kwa kweli cha kushangaza baada ya kushuka na kumpa Hera yake,alianza kunifuata nilipokua nakatiza uchochoro ili nifike nyumbani kwani alinishusha Barabara kuu.
Kwa kweli nilipomuona ananifuata nilikwenda kasi,ajabu nae alienda kasi,ingawa pikipiki yake alikua ameipaki Barabara kuu.
Nilipoona hivyo nikaanza kukimbia,nae akaanza kunikimbiza.nilihofu kunyang'anywa hera zangu ambazo tayari alikuwa kaziona wakati namlipa.
Niliongeza speed tena na tena,lakini nae aliongeza pia.
Kwa kweli nilichoka na kusimama.alinifikia akiwa na hasira.
Moja kwa moja alipeleka mikono yake kwenye.kichwa changu na kuchomoa HELMET Yake ambayo kumbe nilisahau kumrudishia nilipo shuka.
TUWE MAKINI NA HELMET ZA WATU TUSILETE USUMBUFU.
ASANTENI
MELISSA THE SLAY QUEEN. KRISMASI ILIKUWAJE?Tatizo jirani anaumaliza vibaya....Battle ya Dar VS Nai imewaacha na maumivu....!!π π π View attachment 976446
πππππππTAHADHARI.