Kuelekea Mwisho wa Mwaka: Niwatakie Kila La Heri Wajumbe kwa Mwaka Ujao 2018

Ahaaa haaa haaa
huku ni mwendo wa makalapusi tu.
maisha matamu. no stress. no reports. etc etc.
huku ni full shangwe.

Duh, Life with No reports, actually i need to retire earlier kwa sababu ya reports *****,
Happy new year bro!
Mimi nimetafuna Krisimasi Iringa na Mwaka mpya nipo Maeneo ya Hapa mlimani city tunajipongeza kwa kuvuka Mwaka,
Hakika Mungu ni Mwema.
[emoji4]
 

Ahaaa haaa haaa
hongera bro. unajaribu kufurahia maisha mubashara. SAFI SANA.

mini niko huku MATEMA BEACH TANGU JANA NAONDOKAA kesho. actually naweza kusema Tanzania tumebarikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…