Kuelekea Nov 24,hawa ndio Wasanii watakaopanda jukwaani Wasafi Festival Mtwara

Kuelekea Nov 24,hawa ndio Wasanii watakaopanda jukwaani Wasafi Festival Mtwara

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
1542717736467.jpg

Wenyewe wanauliza Nani aongezeke hapo?
 
"one incredible, Stereo, Niki wa pili" , Yaani hawa jamaa kama wangekuwa ktk kile kizazi cha kwanza cha mziki wa bongo fleva, wangetawala sana. Tatizo kizazi chetu hiki cha sasa tushalishwa sumu eti, hip hop haiuzi, ila jamaa wapo vizuri. Mimi huwaga nawasikilizaga lkn sioni wanapokosea.
 
Hakika Wasafi Festival imeimbamba FEDHA YA KOROSHO wajiandae kuzoa mipesa siku hiyo maaana Mtwara kuchele
 
Huyu orbit makavel ndie msanii pekee Tz anayemkaribia khaligraph jons kwa michano
 
Hakika Wasafi Festival imeimbamba FEDHA YA KOROSHO wajiandae kuzoa mipesa siku hiyo maaana Mtwara kuchele
 
"one incredible, Stereo, Niki wa pili" , Yaani hawa jamaa kama wangekuwa ktk kile kizazi cha kwanza cha mziki wa bongo fleva, wangetawala sana. Tatizo kizazi chetu hiki cha sasa tushalishwa sumu eti, hip hop haiuzi, ila jamaa wapo vizuri. Mimi huwaga nawasikilizaga lkn sioni wanapokosea.

Duke niachie kinasa Watoto wanazingua....Nawascratch kama Stivie B kwenye LP.
Wasanii wanaigiza kaole CD Dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani twende --Uno
Kitaa kuna wanyama njoo uone vicheche ukiweza Tembeza Rungu kama comrade Kipepe.
 
Sasa fiesta ya dar itakuwa na wasanii gan mbona chuma zote ziko mtwara au dar wako nand na bilinas
 
waongezeke eddykenzo,chamilion,rankadah&naiboi,eddu boy,olamide ,slimcase &liminisce itapendeza
 
wakimleta Chemical na Blue itapendeza sana,huku Nay true boy akivutwa dakika za majeruhi
 
Mbona wadada hawapo! wamweke kina Jaydee, Ruby na wengine
 
Tigo Fiesta group,
Whitte kijogoo left

Wasafi Festival group,
Whitte kijogoo joined using invite link
teh teh!
 
Mawingu nasikia nao watawaleta wagongwe wa bongo fleva katika fiesta ya Dar,dogo kawabana hadi wanawakumbuka wagongwe....
 
Back
Top Bottom