Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam,
Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu.
Napenda kutoa rai kwa wapiga kura kutorudia makosa ya 2015 ya kuchagua wabunge kutoka CCM kwasababu hawa hawajitambui wamepigania maslahi yao binafsi na kutupuuza wapiga kura.
Kwa miaka 5 iliyopita Watanzania tumeshuhudia bunge la hovyo (dhaifu) kuliko mabunge yote tangu kuanzishwa mfumo wa vya vyama vingi.
Zote tumeona wabunge hawa wakipitisha sheria kandamizi dhidi yetu, tumeshuhudia wakifuta bunge live, tumeshuhudia wakitetea watu wasiojulikana, tumeshudia wakishindwa kuiwajibisha Serikali n.k