Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kuelekea mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wawakilishi pekee Afrika Mashariki na Mabingwa wa Nchi Simba SC Mnyama, atapapatuana na TP Mazembe siku ya Jumamosi Aprili 6, 2019 kunako uwanja wa Taifa National Stadium.
Ni yetu matumaini kuwa Simba SC atamchapa TP Mazembe kama alivyowachapa Waliotangulia Kabla yake katika uwanja wa Taifa kutokana sababu ya udhaifu wa TP Mazembe kwa miaka hii na Ubora wa Simba SC kwa sasa.
Kikosi cha Simba SC ambacho kwa sasa ni hatari, kikosi cha Mwana Kulipewa..Mwana Kulitaka, chini ya Kocha Patrick Aussems kimejiandaa vilivyo kuweza kuwafurusha wakongo hao na kuzidi kuweka heshima ya Klabu na Taifa kwa Ujumla. Kuwa Mzalendo kwa Maslahi Mapana ya Taifa.
Kuanzia sasa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Klabu ya Simba Mohammed Dewji MO atazungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo huo..Usikose Ukaambiwa.