Solution NI makonda only..hakuna kiongozi aliyewahi kutokea kuwa na Nia ya dhati ya kupambana na madawa zaidi ya makonda na boss magufuli
Shida unatoa taarifa alafu hatuna uhakika na usalama wetuToa taarifa ya siri kupitia namba ifuatayo;
119
tuwafichue wauza madawa ya kulevya.
tuokoe jamii yetu dhidi ya athari za madawa ya kulevya.
Wauza "unga" tunaishi nao mitaani shime wananchi wenzangu tuwafichue, zawadi zipo.
Usalama ni asilimia 100, wewe toa taarifa moja kwa moja kwa Kamishna, usipitie kwa viongozi wa eneo lako.Shida unatoa taarifa alafu hatuna uhakika na usalama wetu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app