Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya?

Tariqfinest

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
16
Reaction score
23
Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya?

1, Je simba itaendelea kuwa bora kama msimu uliopita?

2, maingizo mapya kikosini yataleta tija kama matumaini ya wengi?

3, Je Mazembe ni kipimo kizuri mbele ya mashabiki kukipima kikosi

4, ushindi mechi 2 na sare 2 pre season inatupa picha gani

5, Ongezeko la mwalim msaidizi wa ziada lina tija ?

 
Majibu ya Maswali yako yote ni NDIO...

Siku nyingine uwe unauliza maswali magumu na ya kufikirisha...
 
kimsingi maingizo mapya ni benchi la ufundi la Simba lililofanya veting ya maingizo mapya.
Tusuburi mrejesho ndani ya pitch tuone.

Mechi za preseson Simba kashinda mechi moja tu,zingine katoa draw,akuna aliyofungwa.
Simba kuwa na makocha watatu ni haki yake na kwa hatua na ukubwa waliyofikia ni muhimu sana kuongeza nguvu benchi la ufundi,cha muhimu kocha mpya Hitimana amependekezwa na kocha mkuu Gomez.

Ukubwa wa Mazembe akuna asioujua,Mazembe ni miongozi mwa top ten ya timu bora za Africa.Mazembe wanauza vijana wenye viwango timu za ulaya kama Young boyz waliowapiga Man U goli mbili juzi hapa.
 
Maswali yamekaa ki utopolo utopolo SISI KAMA SIMBA TUNA MUNGU NO doubt
 
Maswali ya kizembe
 
Andaa suti yako tu kijana. Next level ni mwendo wa kunyanyua makwapa tu.back2back ni speed ya kuvunja record zetu wenyewe upo apo.
 
1.Simba itaendelea kuwa Bora na pengine itaongeza ubora zaidi ya msimu uliopita
2.Maingizo mapya ni mazuri nayanatakiwa kupewa nafasi hasa Inonga,Peter Banda na Dancan Nyoni lakini Kanote na Sakho wanauwasha kwanzia mechi ya kwanza
3.Mazembe ni kipimo kwakuwa ile mechi ya Simba day sio miongoni mwa mechi za maandalizi but is just of pride so you must come with Giant that can convince the audiance to respond

4.Matokeo ya mechi za kirafiki hata hayaonyeshi timu inafanyaje ,foristance last two season real Madrid were beaten 8-1 by Atletico Madrid in pre season but still real were win La liga.

5.Kuhusu suala la Hitimana Thierry ,If himself respect his job and it's principals also if he respect his Bosses in technical benches that is Gomes and Matola he must add something because of his experience in African football
 
Nmekuelewa sana mkuu
 
Hitimana ilikuwa lazima aje au any one else otherwise michuano ya caf wangecheza bila kuwa na kocha benchi la ufundi
 
Duh simba imekua SIMBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…