Amesema itapendeza tukienda na hela zetu.mashaallah sisi tuliopo mkoani je?
Stay Blessed,''ATAKAYEMTUNZA YATIMA KWA UADILIFU MIMI NA YEYE( Akimaanisha huyo aliyemtendea wema na uadilifu Yatima) TUTAKUWA KAMA VIDOLE VIWILI( alipovionyesha vidole viwili kidole cha shahada na kidole cha pete) PEPONI'' Mtume Muhammad SAW.
Wazo zuri sana, ubarikiwe.
ameen mbarikiwe sana kwa kukubali kunisupport tar natoa pmTaja umri wako
asante dear nitatuma pmumewaza kitu chema sana miss natafuta yani itabidi utuambie tarehe ya kwenda huko
sawa mkuuNi wazo zuri na nikupongeze tu kwa hilo ILA tukumbuke kuwa Watoto Yatima wanahitaji msaada wa hali na mali wa kila siku na siyo wa once in a while ambao wengi wetu ' hujitutumua ' kuufanya.
Wapo watoto yatima waliotupwa na ninyi wadada/wanawake. Mkiacha michezo mibaya kabla ya ndoa tatizo litapungua hili
35 mkuuMwenyezi mungu akujaalie. Unatimiza miaka mingapi?
nimeamuaWell done...Itakuwa poa kama umedhamiria
ahaaa acha hzo sitaki hela nataka kampaniWe una kiasi gani kwanza
amina shogaaubarikiwe sana kwa unachoenda kufanya
tutaenda kimya kimya wakuu[emoji121]
TENA WENGI WAO HUENDA NA KAMERA NA WANAHABARI UCHWARA ILI TU WAPEWE CREDIBILITY KWA KUJITANGAZA KUWA WANASAIDIA YATIMA,
WAKATI MSAADA WA DHATI HAUANIKWI HADHARANI.
[emoji121]tutaenda kimya kimya wakuu
ahahaaa kweli tena halafu kwangu sio mara ya kwanza kufanya hivi mbona?[emoji121]
MIMI NAKUJA NA KIRIKUU ILIYOJAA BAKORA NA SUNGUSUNGU KADHAA,
OLE WENU TUONE MNAPIGAPIGA PICHA MKIWAKABIDHI WATOTO VIPANDE VYA SABUNI!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
[emoji121]ahahaaa kweli tena halafu kwangu sio mara ya kwanza kufanya hivi mbona?
Kazi ni kwakoameen mbarikiwe sana kwa kukubali kunisupport tar natoa pm
Siku si nyingi nitasherekea siku yangu ya kuzaliwa na kuaga ujana kwa amani
Namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa huruma na Rehema kwa wema na baraka zake nyingi saana katika maisha yangu.
Siku hiyo nitaenda kusherekea na watoto yatima sehemu flani, so naombeni kampani ratiba ipo hivi tutaenda asubuhi, tupike chai, tuwafulie tupike mchana, tucheze nao then tuondoke vitu vya kupika na sabuni za kufulia ninazo.
Nawakaribisha sana kwenye party yangu kama upo interested njoo pm nikupe kadi kama una nguo hutumii au mashuka ila yasiwe na ramani za sayari ya mars huko. unaweza kuleta naombeni niliowakosea mnisamehe sana tuanze upya, eneo ni Dar.
uliyosema ni kweli mamy faiza ni kweli inatakiwa tuwalee nyumbani .ila bahati mbaya wengine tunanyimwa hao watoto kama ulivonyimwa na wengine hali zao kimaisha sio nzuri za kulea mtoto so inabidi tyuwalee hukohuko .japo ni changamoto kujua wahitaji kweliWatoto yatima kama tunawapenda sana na kuwaonea huruma inatakiwa tuwachukuwe tuwalee kama watoto zetu majumbani mwetu na si kuwaweka kwenye vituo.
Binafsi nnaona hii ya kuwapelekea misaada hawa watoto na kuwaweka kwenye majumba maalum ya kulelewa ni utumwa mambo leo na ni kuwadhalilisha hao watoto.
Nnawaomba sana badala ya kutowa misaada chukuweni hao watoto japo mmoja mmoja mkawalee majumbani mwenu kama watoto zenu na wasijijuwe kuwa wao ni yatima.
Niliwahi kufanya hivyo kwenye kituo kimoja cha watoto yatima, nilienda kwa nia njema kabisa wanipe watoto wawili au watatu niwalee kama wanangu nyumbani, wakaninyima kwa visingizio vya kijinga, kuchunguza nikakuta kumbe ule ni mradi, huwa wanazunguka Tanzania nzima kutafuta watoto wa kuwaweka kwenye hicho kituo na nikagunduwa pia 99% ya hao watoto walikuwa si yatima.
Tanzania kwa siku za karibuni umekuwa ni mradi mkubwa huu wa vituo vya watoto yatima.
uliyosema ni kweli mamy faiza ni kweli inatakiwa tuwalee nyumbani .ila bahati mbaya wengine tunanyimwa hao watoto kama ulivonyimwa na wengine hali zao kimaisha sio nzuri za kulea mtoto so inabidi tyuwalee hukohuko .japo ni changamoto kujua wahitaji kweli
poa mamy andaa muamala ila i wish uwepoUtupe namba ya simu tutakaokuwa mbali tukurushie m-pesa, una lengo zuri sana linafaa kuungwa mkono.
kuna kimoja kipo kunduchi kimekaa kinafiki sana basi tu Mungu anawaona kuna mmama ni nabii eti ana charity home serious?Sasa fikiri mtu anaewatakia mema yatima kwanini asikupe japo mmoja umlee?
Kila tunavyokwenda kupeleka misaada tunasaidia kuendeleza biashara ya utumwa, tena utumwa wa watoto wadogo.
Vituo vya yatima wangoje fungu lao ustawi wa jamii, uone kama vitabaki.
Halafu kuna ushahidi kabisa kuna vituo vya yatima kuwafanyisha ufuska wale watoto walio kidogo wakubwa.
Nnashanaa sana kuwa serikali haiingilii huu utumwa abo leo.
Ustawi wa jamii wangeanzisha mpango wa kila anaetaka kulea mtoto yatima basi anaenda kuchukuliwa kituo cha kulelea watoto yatima anapewa wakipenda wasipende ili kuukomesha huu utumwa.
Iliniuma sana kukataliwa hao watoto na nikajiuliza kwanini wakatae? Nikafanya uchunguzi, niliyoyangunduwa mengine hayasemeki.
Oh Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, to bring us in. O Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, to bring us in. All those years longing for a land. We would start, much too weak to stand, and they took their toll. Tyrants of their soul. With no place we could call our own. With no song, Lord You heard our groan. And You made a way, where there was no way. O Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, to bring us in. Out of chains and the bonds of man. Out of death, and the curse of sin, through the desert sand, to the promise land. O Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, O Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, O Lord you brought us from a mighty long way, a mighty long stay in the wilderness. O Lord You brought us through the thick and thin, through the fire and wind to a better place. You brought us out, to bring us in.Miss natafuta , Ubarikiwe sana kwa hili unalofanya. Sina cha kusema ila sikiliza huu wimbo.
amen mkuu barikiwa sanaMiss natafuta , Ubarikiwe sana kwa hili unalofanya. Sina cha kusema ila sikiliza huu wimbo.
Nnashanaa= ninashangaaSasa fikiri mtu anaewatakia mema yatima kwanini asikupe japo mmoja umlee?
Kila tunavyokwenda kupeleka misaada tunasaidia kuendeleza biashara ya utumwa, tena utumwa wa watoto wadogo.
Vituo vya yatima wangoje fungu lao ustawi wa jamii, uone kama vitabaki.
Halafu kuna ushahidi kabisa kuna vituo vya yatima kuwafanyisha ufuska wale watoto walio kidogo wakubwa.
Nnashanaa sana kuwa serikali haiingilii huu utumwa abo leo.
Ustawi wa jamii wangeanzisha mpango wa kila anaetaka kulea mtoto yatima basi anaenda kuchukuliwa kituo cha kulelea watoto yatima anapewa wakipenda wasipende ili kuukomesha huu utumwa.
Iliniuma sana kukataliwa hao watoto na nikajiuliza kwanini wakatae? Nikafanya uchunguzi, niliyoyangunduwa mengine hayasemeki.
Ni wazo zuri na nikupongeze tu kwa hilo ILA tukumbuke kuwa Watoto Yatima wanahitaji msaada wa hali na mali wa kila siku na siyo wa once in a while ambao wengi wetu ' hujitutumua ' kuufanya.