Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,617
Reaction score
10,524
Habari wakuu.

Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji??

Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi.
Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba icheze mpira wa pasi nyingi za haraka haraka za kuelekea mbele kushambulia.

Kila msimu, nakuwa nimetengeneza picha ya Simba ya mpira mwingi wa pasi nyingi sana mpaka wapinzani wanapagawa wanaashindwa wamkabe Nani.

Lakini picha linaanza siku ya Simba day nakuja kuona Simba ya long balls na backpasses๐Ÿ˜ญ.

Mdau, wewe unatamani kuona simba ya aina gani???
 
Natamani simba ifike nusu fainali ligi ya mabingwa , huko ligi ya mchangani hata ikipata nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa tu sio mbaya.
 
Natamani simba iwe inashinda tu mana ikifungwa tu haijalishi imechezaje tunashambuliwa ata na mashabiki kelele hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ