Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesema Tukutane Tamasha la Tatu la Utamaduni kuanzia Septemba 20 hadi 23, 2024 Uwanja wa Majimaji Songea.
Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesema pia kuwa, Mgeni rasmi siku ya Kilele cha Tamasha la Tatu la UtamaduniSongea la Septemba 23, 2024 ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan