Pre GE2025 Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
1737444948648.png
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na maendeleo ya nchi.

Nikiangalia kwa jinsi hali ilivyo sasa yaani nabubujikwa machozi ya huzuni! Si wazee wala vijana wote tumeamua kuwa machawa! Hii inamaanisha hata viongozi tutakao wachagua watashika nafasi hizo sababu ya uchawa na si sababu wana uwezo wa kutuwakilisha na kuongoza taifa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uzuri ni kwamba bado tuna nafasi ya kubadilisha hali hii, bado tuna nafasi ya kuua uchawa na kuhakikisha tunapata viongozi wanaofaa kuhakikisha tunapata fyucha inayotoa matumaini.

Wewe kama kijana (na wazee mkisindikiza jahazi kama wasahuri) nini kifanyike sasa kuhakikisha ushiriki wa vijana unaongeza, na sio kuongezeka tu bali kuwa wenye tija na kuleta mabadiliko?

Soma, Pia

Matukio ya vijana kuelekea 2025;

Januari

Februari
Machi
 
Kinachosikitisha ni vijana wenyewe kutojitambua, hivi sasa angalia namna ambavyo vijana wanatumika vibaya na CCM huko dodoma, baada ya wao kuongoza mapambao dhidi ya utawala huu ambao hauna mwelekeo mzuri kwa Watz wengi ila wanajali shibe ya muda mfupi na kuacha ndugu zao wengi wakitaabika na maisha huko mikoani.

Ngoja pia nione maoni ya Retired Mshana Jr Erythrocyte na wengine tunaelekea wapi kama taifa la sasa
 
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na maendeleo ya nchi.

Nikiangalia kwa jinsi hali ilivyo sasa yaani nabubujikwa machozi ya huzuni! Si wazee wala vijana wote tumeamua kuwa machawa! Hii inamaanisha hata viongozi tutakao wachagua watashika nafasi hizo sababu ya uchawa na si sababu wana uwezo wa kutuwakilisha na kuongoza taifa.

Uzuri ni kwamba bado tuna nafasi ya kubadilisha hali hii, bado tuna nafasi ya kuua uchawa na kuhakikisha tunapata viongozi wanaofaa kuhakikisha tunapata fyucha inayotoa matumaini.

Wewe kama kijana (na wazee mkisindikiza jahazi kama wasahuri) nini kifanyike sasa kuhakikisha ushiriki wa vijana unaongeza, na sio kuongezeka tu bali kuwa wenye tija na kuleta mabadiliko?

Matukio ya vijana kuelekea 2025;
Nadhani serikali yenyewe inapaswa kutoa fursa za uongozi kwa vijana ili kuendelea kuwapa imani.

Vyama vya siasa vitoe fursa kwa vijana kutoa maoni yako na kushiriki katika fursa mbalimbali za chama tuachane na zile zama kuwapa wazee kila fursa watu mfano wassira miaka kibao yupo tu kwenye mfumo, wabunge kibao bungeni wamekaa miaka 15 na zaidi.

Sasa kwa hali hii vijana wanapata wapi nguvu ya kushiriki? Sizungumzii vijana chawa
 
Serikali kupitia CCM inawalaghai kwa kuwapa vijiposho hao vijana vya kwenda huko Dodoma na kuhubiri mambo yao yasiyo na maslai kwa raia wengi
 
Vijana tunatumika kama tishu, uchaguzi ukiisha watu wanaendele kula maisha sisi tupo tunashangaa shangaa na hatuwi vijana milele. Vijana tushtuke sasa
 
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na maendeleo ya nchi.

Nikiangalia kwa jinsi hali ilivyo sasa yaani nabubujikwa machozi ya huzuni! Si wazee wala vijana wote tumeamua kuwa machawa! Hii inamaanisha hata viongozi tutakao wachagua watashika nafasi hizo sababu ya uchawa na si sababu wana uwezo wa kutuwakilisha na kuongoza taifa.

Uzuri ni kwamba bado tuna nafasi ya kubadilisha hali hii, bado tuna nafasi ya kuua uchawa na kuhakikisha tunapata viongozi wanaofaa kuhakikisha tunapata fyucha inayotoa matumaini.

Wewe kama kijana (na wazee mkisindikiza jahazi kama wasahuri) nini kifanyike sasa kuhakikisha ushiriki wa vijana unaongeza, na sio kuongezeka tu bali kuwa wenye tija na kuleta mabadiliko?

Matukio ya vijana kuelekea 2025;
Kwanza vijana wenyewe wakatae kutumiwa kichawa, kuna wakati wanaweza kutumiwa kama machawa bila wao kujua
 
Vijana tunatumika kama tishu, uchaguzi ukiisha watu wanaendele kula maisha sisi tupo tunashangaa shangaa na hatuwi vijana milele. Vijana tushtuke sasa
Vijana wengi washakuwa tambala la sisiem wanawatumia watakavyo 😀😛
 
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na maendeleo ya nchi.

Nikiangalia kwa jinsi hali ilivyo sasa yaani nabubujikwa machozi ya huzuni! Si wazee wala vijana wote tumeamua kuwa machawa! Hii inamaanisha hata viongozi tutakao wachagua watashika nafasi hizo sababu ya uchawa na si sababu wana uwezo wa kutuwakilisha na kuongoza taifa.

Uzuri ni kwamba bado tuna nafasi ya kubadilisha hali hii, bado tuna nafasi ya kuua uchawa na kuhakikisha tunapata viongozi wanaofaa kuhakikisha tunapata fyucha inayotoa matumaini.

Wewe kama kijana (na wazee mkisindikiza jahazi kama wasahuri) nini kifanyike sasa kuhakikisha ushiriki wa vijana unaongeza, na sio kuongezeka tu bali kuwa wenye tija na kuleta mabadiliko?

Matukio ya vijana kuelekea 2025;
Agenda yetu taifa la leo iwe hatutaki wenye vifua vipana watuchafulie uchaguzi na kuufanya uchafuzi.
 
Back
Top Bottom