Ilikuwa ni muhimu katibu Mkuu ateuliwe mpya; kwa kuwa aliyepo ni mgombea mwenza.. ni vizuri ukibadilisha Katibu Mkuu ubasiliahe pia mwenezi wake ili kutengeneza combination.. nafikiri uteuzi wa Dr Migiro ni uteuzi mzuri..Kamati Kuu imewateua makada wake
Uteuzi huo unafanyika mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu.
- Asha Rose Migiro - Katibu Mkuu
- Kenan Kihongosi - Mwenezi Taifa
Sasa naanza kuamini kwamba suala la Uchqguzi Mkuu siyo gumu kwa CCM. Mifumo imeshakamilisha ushindi wa kishindo kwa CCM
Polepole amekuwa muungwana sana.
Ilikuwa ni muhimu katibu Mkuu ateuliwe mpya; kwa kuwa aliyepo ni mgombea mwenza.. ni vizuri ukibadilisha Katibu Mkuu ubadilishe pia mwenezi wake ili kutengeneza combination.. nafikiri uteuzi wa Dr Migiro ni uteuzi mzuri..Kamati Kuu imewateua makada wake