Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ajenda ya mapokezi ya Tundu Lisu siioni hapo?
Bwashee hawa Ufipa ni bure kabisa!Sasa kwanini asingesubiri hiyo Ijumaa (kesho) akatoa taarifa iliyokamilika? Hivi ambacho angependa msomaji au msikilizaji kukisikia ni Kamati Kuu ya Chadema kukutana au Maazimio ya Kamati Kuu? Makene naye utadhani sio mwandishi wa habari!
Mungu ibariki Chadema, fanyeni yooote lkn mtaani tuleteeni mhe.lissu ...huyu ndo atakayemnyoosha mzee wa chatto
Naiona Nuru Tanzania. Tanzania mpya chini ya Tundu Antipas Lissu. Hongereni Chadema, macho na masikio yetu yako juu ya hivyo vikao vyenu