Sasa kwanini asingesubiri hiyo Ijumaa (kesho) akatoa taarifa iliyokamilika? Hivi ambacho angependa msomaji au msikilizaji kukisikia ni Kamati Kuu ya Chadema kukutana au Maazimio ya Kamati Kuu? Makene naye utadhani sio mwandishi wa habari!