Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, Watanzania tuhimizane kupiga kura

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, Watanzania tuhimizane kupiga kura

Niwaheri

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,994
Reaction score
4,729
Watanzania wenzangu nichukue nafasi hii kuwaomba na kuwasihi kwamba tarehe ya Uchaguzi tuhimizane kupiga kura, kwa wale ambao tutaweza pia kusafiri eneo moja had lingine pia itakuwa nzuri kwa sababu kura yako moja ina thamani sana.

Tusipigie kelele mabadiliko bila kushiriki Uchaguzi, isionekane mtandaoni wapiga kura ni wengi lakini siku ya uchaguzi hawaji.

Please niwaombe sana tusipoteze haki yatu ya msingi, kwa wale tuliokata tamaa tujitahidi maana mwaka huu mambo n tofauti.
 
Back
Top Bottom