M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Oct 28, 2020 #261 Naona mfalme muoga alianza kazi tangu jana!
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Oct 28, 2020 #262 Kaka mshana ni mitandao ya simu kuzimwa sio mitandao ya kijamii kuzimwa. Hawawezi kuzima mitandao ya kijamii kaka
Kaka mshana ni mitandao ya simu kuzimwa sio mitandao ya kijamii kuzimwa. Hawawezi kuzima mitandao ya kijamii kaka
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Oct 28, 2020 #263 MoneyHeist4 said: Ilifikia hii hatua tutaandamana[emoji22] Serious nasema nitaingia barabarani bango langu kudai uhuru[emoji3525] Click to expand... Umeandamana ndugu???
MoneyHeist4 said: Ilifikia hii hatua tutaandamana[emoji22] Serious nasema nitaingia barabarani bango langu kudai uhuru[emoji3525] Click to expand... Umeandamana ndugu???
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 28, 2020 Thread starter #264 CAPO DELGADO said: Kaka mshana ni mitandao ya simu kuzimwa sio mitandao ya kijamii kuzimwa. Hawawezi kuzima mitandao ya kijamii kaka Click to expand... Nilimaanisha masafa kuwa corrupted
CAPO DELGADO said: Kaka mshana ni mitandao ya simu kuzimwa sio mitandao ya kijamii kuzimwa. Hawawezi kuzima mitandao ya kijamii kaka Click to expand... Nilimaanisha masafa kuwa corrupted
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Oct 28, 2020 #265 Hivi Jamiiforums bado inapatikana bila VPN kweli ?
one wisow JF-Expert Member Joined Sep 9, 2019 Posts 1,303 Reaction score 1,901 Oct 29, 2020 #266 Cannabis said: Hivi Jamiiforums bado inapatikana bila VPN kweli ? Click to expand... Haupatikani mpaka VPN
Cannabis said: Hivi Jamiiforums bado inapatikana bila VPN kweli ? Click to expand... Haupatikani mpaka VPN