Tupatie Habari NzimaUwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...!
Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...!
Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...!
I hope huyu Kabwe wa Mwanza ndio atakuwa amesuka mpango huu..maana ana mambo ya ajbu sana huyu...!
Uwapi uhuru wa vyombo vya habari Tanzania...!
Huu ni ukandamizaji wa Uhuru wa habari..inawanyika haki watanzania kupata habari...!
Watanzania...tuamke na kuwanyima kura mwaka huu...!
I hope huyu Kabwe wa Mwanza ndio atakuwa amesuka mpango huu..maana ana mambo ya ajbu sana huyu...!
Tupe habari kamili, hapo juu hujasema kitu.
What...? Saut FM as in Radio SAUT FM???
Why...? What happened...?
Taarifa kamili plz, na imefungwa lini?
TCRA imeifungia eti imejiingiza kwenye SIASA
TCRA imeifungia eti imejiingiza kwenye SIASA
Mkuu, HAbari nzima ya kuleweka haiwezi kuwepo kwani we hujui hivi vyombo vilivyo undwa na JK Vinavyo fanya kazi zake!?:mad2:.Wakuu mwenye habari nzima atujuze ndo tuchangie!!
What does TCRA mean ''wamejiingiza kwenye siasa?" Maana habari si ni habari tu...
Mwenye habari kamili tuwekee hapa!