Uchaguzi 2020 Kuelekea uchaguzi mkuu, tujiulizeni maswali haya

Uchaguzi 2020 Kuelekea uchaguzi mkuu, tujiulizeni maswali haya

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Tunajua kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za nchi ni yapi majukumu na wajibu wa wagombea watakaoshinda?

1. Je Rais ana wajibu gani?
2. Mbunge ana wajibu na majukumu yepi?
3. Na diwani Je?
4. Ni nani ni kumlaumu kwa kukosa barabara na hospital mtaani kwetu?
5. Nitamlaumu mbunge kwa kutofanya nini?
6. Nitamlaumu diwani kwa kutoleta nini?

NB: Nimeuliza haya kwa kuwa kuna watu wengi wamekuwa wakiuliza miaka 10 mbunge na hamna barabara, shule nk wakati huo mimi najua hilo ni jukumu la Rais kwa kushirikiana na diwani kwa mwavuli wa Halmashauri.
 
Back
Top Bottom