Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani atahesabu kura??Kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe unasemaje kuhusu hili?
Chama cha Siasa si cha Mpira.Mamelod Sundown
Obviously mchuano utakuwa ni kati ya mgombea wa Ccm na Mgombea wa CDMKuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe unasemaje kuhusu hili?
Ingesajiliwa hiyo Umoja Party ingefaa ili ushindani uwe mkali na uwezekano wa kumpata Rais Bora wa Nchi yetu uwe mkubwa zaidi.Obviously mchuano utakuwa ni kati ya mgombea wa Ccm na Mgombea wa CDM
Labda kama Umoja Party itapata usajili hapo kasheshe jingine litazuka !
CCM inatoshaKuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025 wapiga kura watawapima waliokuwa madarakana kwa mafanikio ya ahadi zao. Ambao hawakuwa madarakana watawapima kwa uaminifu wao kwa utetezi kwa wananchi. Wewe unasemaje kuhusu hili?
Kabisa kabisa 🙏Ingesajiliwa hiyo Umoja Party ingefaa ili ushindani uwe mkali na uwezekano wa kumpata Rais Bora wa Nchi yetu uwe mkubwa zaidi.
Hapana. !CCM inatosha
Ushindani ni muhimu ili kupata kilichobora zaidi.CCM inatosha
Na mimi pia.Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!