Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, maswali mengi yanajitokeza kuhusu mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dhambi zako mwenyewe
 
Upuuzi gani huu umeandika. Huyo tu Samia kua rais ni taabu kwa mfumo dume uliyozoeleka. Huyo mume wake atawezaje kujitokeza kwa kuona wanaume wenzake tunamuonaje. Yeye akae tu pembeni inatosha. Mama mwenyewe wengi waliyompenda na kumuamini Magufuli wana mashaka na uwezo na uzalendo wake. Tuombe mungu tu huyu mama kipindi chake kipite ndio tutaweza kupima kuona kama hajatuuza kwa waarabu na wahindi. Wengi tulitegemea aachie ngazi ila kapora ugombeaji kinyume na katiba.
 
Kama nimeandika Upuuzi , umeusoma wa nini?
 
Sisi tunamtambua mkewe, ya mumewe hayatuhusu..!!
Na sie wabongo tupunguze umbea chaaaah.!! 🙌
Ukishakua kiongozi wa umma maisha yako yote kiujumla yanawahusu wananchi, vilevile wenza wa marais nao wanapewa kiinua mgongo baada ya Rais kustaafu kwaiyo ni haki ya wananchi kuhoji impact yao kwa sababu hivyo viinua mgongo wanavyopewa ni kodi za wananchi
 
Kauli yako inagusa mambo muhimu kuhusu uwajibikaji wa viongozi wa umma na matumizi ya rasilimali za umma.

1. Kiongozi wa Umma na Wananchi: Kiongozi wa umma anawajibika kwa wananchi wote, na maisha yake ya kila siku yanapaswa kuzingatia maslahi ya jamii. Hii ina maana kwamba maamuzi na hatua zinazochukuliwa na viongozi yanapaswa kuwa na athari chanya kwa maisha ya watu wanaowaongoza.

2. Wenza wa Marais na Viinua Mgongo: Katika baadhi ya mifumo ya kisiasa, wenza wa marais wanapewa marupurupu au kiinua mgongo baada ya kiongozi kuondoka madarakani. Hii inaweza kuwa na maana mbalimbali, lakini ni muhimu kujadili kama ni haki au si haki, hasa katika muktadha wa matumizi ya fedha za umma.

3. Haki ya Wananchi Kuhoji: Wananchi wana haki ya kuuliza kuhusu matumizi ya kodi zao. Kama viinua mgongo vinavyotolewa ni kutoka kwenye fedha za umma, basi ni muhimu kwa wananchi kuhoji kama rasilimali hizo zinatumika ipasavyo na kama zinaleta manufaa katika jamii. Hii ni sehemu ya uwazi na uwajibikaji wa viongozi, ambao unahitaji kuimarishwa ili kuhakikisha hakukuwa na matumizi mabaya ya rasilimali.

4. Impact ya Viongozi: Ni muhimu pia kuangalia athari ambazo viongozi wanazo kwa jamii. Je, kazi zao zinafaidisha umma? Je, wanatoa huduma bora? Wananchi wanapaswa kuwa na sauti katika masuala haya ili kuhakikisha kuwa viongozi wanawajibika kwa matendo yao.

Kwa ujumla, ni muhimu kwa viongozi wa umma kuwa na uwazi na kuwa tayari kujibu maswali kutoka kwa wananchi, hasa kuhusu matumizi ya rasilimali zinazotokana na kodi zao. Hii itasaidia kujenga uhusiano mzuri kati ya viongozi na wananchi, na kuimarisha demokrasia.
 
Mzee anakula zake mshahara wa mwenza wa raisi na mke mwingine.

Mwamba ndio kidume pekee anaelipwa na mkewe kuweza kutanua na mwanamke mwingine. Bro is living a dream.
🤣🤣🤣🔊
 
Ajitokeze asijitkeze, ccm haitegemei kura kukaa madarakani, bali tume ya uchaguzi inayotii atakacho rais, na mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Ajitokeze asijitkeze, ccm haitegemei kura kukaa madarakani, bali tume ya uchaguzi inayotii atakacho rais, na mbeleko ya vyombo vya dola.
 

Attachments

  • 5987990-04119335cd322e76f2ed0fb37a23e4d0.mp4
    4.1 MB
Na unakura huyu mwanaume kabisa na ana familia sisi lini tulichagua mume wake kuhusika na maamuzi yetu ??? Sisi tuamuangalia mama tuu .mahusiano binafsi yakome.we tukuchimbe?? Sisi tunajua mama mke wa mzee basi hizo hazikuhusu na unakosa adabu
 
Mwanaume akishika u.v.I.p mke anaonekana mara nyingi na Baba.Kwa Mke sasa ni kinyumenyume
 
Mange kimambi alimaliza yote.
Wanawake wakiishapata madaraka wanasahau ndoa zao.

Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…