Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu mfumuko mkubwa wa bei kwenye vifaa vya ujenzi inamaana gani?

Kasegela

Senior Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
127
Reaction score
261
Moja kwa moja kwenye mada,bei ya vifaa mbalimbali vya ujenzi imeruka kama ifuatavyo.
Mikoani bei ya Mfuko mmoja wa saruji(cement) umepanda kutoka 14500 nwezi wa februari hadi 20000 bei ya leo.

Nondoimepanda kutoka 15000 hadi 18000..

Bati chapa Kiboko zimepanda kutoka Tsh 240,000 hadi 320,000/=

Kwa kifupi bei imefumuka.

Nini tatizo?

Nani anawakoa wananchi?
 
Mkuu unakibali maalumu cha kutoa na kutafsiri takwimu katika dona catry?
 
Hii huwa ni kawaida ikifika kiangazi bro,ujenzi ni gharama hutakiwi kulazimisha kujenga wakati channel zinasoma mchelemchele
 
Raisi wa wanyonge anagawa hela muhimbili
 
Ni kwa sababu za-ki-uchumi ndiyo maana unaona kuna mfumuko wa bei... kodi zimepanda...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…