Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA, utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!

Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA, utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!

Mdahalo utatoa majibu ya moja kwa moja nani anatufaa na nani hatufai.

IMG_20241224_163033_470.jpg
 
Mkuu....

Hadi sasa imesha julikana nani anafaa na nani hafai kuwa mwenye kiti wa chama taifa.

Minaona mdahalo utafaa ili kuthibitisha shutuma za kila upande kwa mwingine.

Lakini pia hii itawapa wananchi nafasi ya kusikiliza na kupambanua zaidi ili kujiridhisha na yote yanayo semwa semwa.
 
besigye-data.jpg

Kumjua Mpinzani gani Orijinoo na Mpinzani gani ni Fake ni ngumu sana kwenye Siasa zetu za Afrika ya Mashariki.
Watoto wa Mama.jpg
 
Back
Top Bottom