real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Wamiliki wa blog na wasimamizi wa mitandao ya kijamii wameonywa wanaweza kukabiliwa na faini kubwa na kifungo cha hadi miaka 5 jela kutokana na maudhi ya kichochezi kwenye majukwaa yao wakati wa uchaguzi wa Septemba
Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Kenya na Tume ya ya Umoja na Mshikamano wa Kitaifa imesema wasimamizi wa mitandao ya kijamii watawajibika kwa maudhui ya uongo na yanaoyochochea vurugu katika mitandao
'Itakuwa ni wajibu wa wasimamizi kuchuja na kusimamia mijadala katika majukwaa yao, wasimamizi wa mitandao ya kijamii watawajibika binafsi kwa maudhui yanaorushwa katika mitandao yao''
Taarifa hiyo pia inahimiza vyombo vya utangazaji kudhibiti kurasa zao za mitandao ya kijamii ili kuepuka kurusha maudhui yanayogawa na yasiyofaa
============================================================================
Bloggers and social media administrators have been warned they could face hefty fines and up to five years imprisonment for content appearing on their platforms during the October 26 electioneering period.
In a joint statement by the Communications Authority of Kenya and the National Cohesion and Integration Commission (NCIC), social media administrators will be found personally liable for user generated content that is found to be false or inciting violence.
“It shall be the responsibility of the Administrator to moderate and control content and discussions on their platform. Social media platform administrators will be held liable for any hate speech posts allowed in the forum,” reads the statement signed by Communications Authority Director General, Francis Wangusi and NCIC Chair, Francis Ole Kaparo.
The statement also urges broadcasters to manage their social media sites responsibly so as to avoid posting “divisive and undesirable user generated content.”
“Broadcasters are advised to exercise caution during this sensitive period to avoid giving hate mongers a platform to propagate hate speech, ethnic contempt and incitement to violence,” the statement continues.
The statement by the two agencies is aimed at bloggers, online news sites, political leaders and their followers so as to curb misuse of social media platforms.
Source: Citizen Tv