kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
Kuelekea siku kuu ya wapendanao, na kama kwa upande wako vyuma vimekaza, hii ni zawadi tosha kwa mupenzi yako. Itasisimua, itawakumbusha mambo mengi ya nyuma na itawatoa machozi ya furaha iliyochanganyika na huzuni ndani yake.