kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habari za asubuhi wapendwa!
Nipo hapa kuleta uchambuzi wa ninachokiona kuelekea WC huko
Russia kwa mbambe Putin
Kwa nilivyoangalia mechi ya jana ya kirafiki kati ya spain vs Germany nimegundua kua spain wana team bora na nzuri kuliko Germany ambayo imekuwa team inayosifiwa na vyombo vingi vya habari kuwa ni team bora
Mchezo wa Jana ulitosha kabisa kunionyesha umwamba wa
Spain kutokana na babu inesta kutawala vivivyo eneo la kiungo na kuwapoteza wazee wenzake khedira na Toni kroos wakishangaa na wasijue jinsi ya kumzuia kwa dk 45 pekee alizocheza
Kwaiyo nawakumbusha tu kuwa mpira ni uwanjani ujeramani ni team ya kawaida tu kwa sasa ila kiki zinaikuza
Yangu ni hayo tu!