KUELEKEA WORLD CUP SPAIN ITASIMAMA GERMANY ITAANGUKA

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za asubuhi wapendwa!

Nipo hapa kuleta uchambuzi wa ninachokiona kuelekea WC huko
Russia kwa mbambe Putin

Kwa nilivyoangalia mechi ya jana ya kirafiki kati ya spain vs Germany nimegundua kua spain wana team bora na nzuri kuliko Germany ambayo imekuwa team inayosifiwa na vyombo vingi vya habari kuwa ni team bora

Mchezo wa Jana ulitosha kabisa kunionyesha umwamba wa
Spain kutokana na babu inesta kutawala vivivyo eneo la kiungo na kuwapoteza wazee wenzake khedira na Toni kroos wakishangaa na wasijue jinsi ya kumzuia kwa dk 45 pekee alizocheza

Kwaiyo nawakumbusha tu kuwa mpira ni uwanjani ujeramani ni team ya kawaida tu kwa sasa ila kiki zinaikuza
Yangu ni hayo tu!
 
Bado wajerumani wale wa 2014 wanaishi, Wana super power ya ku handle opponent plan, alafu Wana super performance ya ku deliver their plans.... Hivi ndivyo timu inatakiwa kuwa....

Spain wao Ni Kama wanadumisha utamani wa Johan Cruif, Wana super performance ya ku release and receive pass..... best team so far.

Muda wa mchezo waliugawana Spain wakachukua Muda wao na wakatawala mchezo, German wakachukua Muda wao na wakaukimbiza mchezo....... Kila mmoja alikuwa anacheza kwa tahadhari sana....

Michezo Kama hii huwa IPO michache Sana Katika kalenda.
 
Kumbuka hizi ni friendly match (makocha wengi wanatest mitambo) ndugu unachokiona sasa hivi sicho kitakachotokea kwa Putin .... yetu macho
Kwa fact hiyo hata mimi spain nitakuambia nilikuwa natest mitambo tu tena kwako ukapata sare kwa mbinde mno
 
Spain walicheza vizuri kipindi cha kwanza, German wakacheza vizuri kipindi cha pili. Kiufupi wote walicheza vizuri na mpira ulikua wa ufundi mwingi.
 
Kumbuka hizi ni friendly match (makocha wengi wanatest mitambo) ndugu unachokiona sasa hivi sicho kitakachotokea kwa Putin .... yetu macho
kweli kabisa na wakati mwingine hawataki kuonyesha ufundi wao wote wasije wakajiandaa mapema kuwakabili...hahaha
 
[emoji109] uchambuzi mzuri sana boss

Jana nilikuta vijana wakubet kila mmoja anajilipua kwa ujerumani nikashangaa sana kuona watu kwanini wanajifanya kuusahau ubora wa spain?

Kilicho wapata nazani sahivi wanaugulia maumivu
 
kweli kabisa na wakati mwingine hawataki kuonyesha ufundi wao wote wasije wakajiandaa mapema kuwakabili...hahaha

Kweli kabisa ... Tuombe uzima mkuu ... hivi kwa hali ya kawaida unadhani likianzishwa kwa Putin Messi na Aguero watakaa Benchi??? Kama jana ilivyokuwa kwa Italy ?
 
[emoji109] uchambuzi mzuri sana boss

Jana nilikuta vijana wakubet kila mmoja anajilipua kwa ujerumani nikashangaa sana kuona watu kwanini wanajifanya kuusahau ubora wa spain?

Kilicho wapata nazani sahivi wanaugulia maumivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pamoja anko
 
kweli kabisa na wakati mwingine hawataki kuonyesha ufundi wao wote wasije wakajiandaa mapema kuwakabili...hahaha
Hata sisi spain ndyo maana tukatoa wote inesta, na Alcantara tukaweka kiungo wa villareall rodrigo Hernandez lakini bado akawachachafya ozil na Toni kroos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…