KUELEKEA WORLD CUP SPAIN ITASIMAMA GERMANY ITAANGUKA

WC ni ushindani ni ngumu kutabiri kwa hizi friendmatch.
 
Maneno mengi ya nini...
Kabla ya WC kule Brazil tulisikia tambo kibaoo, lakini mwisho wa siku kila mtu hakuamini kilicho tokea.
 
Maneno mengi ya nini...
Kabla ya WC kule Brazil tulisikia tambo kibaoo, lakini mwisho wa siku kila mtu hakuamini kilicho tokea.
Ndivyo ambavyo ujeruma sahivi wamekuwa ni wazee wa media tu
 
Jana mastaa wa argentina walikuwa bench + Messi na still wakauwa mtu 2-0. Je wangeingia Messi and Dybala ingekuwaje! 5 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…