Kuelekea Wydad vs Simba iyo ijumaa hebu tupia utabili wako

Kuelekea Wydad vs Simba iyo ijumaa hebu tupia utabili wako

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Hebu tuweke unafiki pembeni, hii game Simba atachapika goli za kutosha si chini ya goli 6+
Wanasimba wote popote walipo wanatetemeka sana maana kila wakiangalia rekodi ya Wydad nyumbani kwao pale Stade Mohamed V inawatisha vibaya
Weka utabiri wako hapa ili tuwasaidie ndugu zetu wale wakubeti wale pesa siku iyo.
Mimi Naanza na utabiri huu hapa chini
(1) Wydad 5-0 simba
(2) Wydad 7-1 simba
(3) Wydad 9-1 simba
JamiiForums-1920326074.jpg
 
Wakienda kijilinda watapingwa 2 tu, lakini wakijifanya wao nao ni timu kubwa idadi ya mikonywe ya pwenza itamhusu.
Kupanga ni kuchagua.
Na ikitokea wamejilinda na mpaka half time bado 0-0 myama atapita kwa mikwaju ya penalti.
 
Maji na mafuta Huwa havichanganyiki mkuu. Simba waende na kapu la kubebea magoli maana mvua haitapungua 6+
 
Back
Top Bottom