mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Upo sahihi mkuu[emoji3581]Wydad 15-0 simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuja kuomba radhi humu.Wydad 15-0 simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu ngoja nirekebisheSio utabilii ni utabiri mkuu
Kumradhi
Hii itapendeza zaidi[emoji23][emoji23]Widad Casablanca 19-1 $ymba nimekaa palee
Maji na mafuta Huwa havichanganyiki mkuu. Simba waende na kapu la kubebea magoli maana mvua haitapungua 6+Wakienda kijilinda watapingwa 2 tu, lakini wakijifanya wao nao ni timu kubwa idadi ya mikonywe ya pwenza itamhusu.
Kupanga ni kuchagua.
Na ikitokea wamejilinda na mpaka half time bado 0-0 myama atapita kwa mikwaju ya penalti.
We mwenye kazi umefata nini humu? Mbwa weIla upunguze kiherehere nawew maana umeiandama Simba Kila muda, hivi hauna kazi za kufanya kutwa unashindwa jf sports???