Japo nilikuwa mkosoaji wa safari za Jakaya nje ya nchi, naona afadhali kuliko Jiwe anayetusumbua na uzinduzi kila siku.Airbus A220-300 ipo mbioni kuwasili bongoland. Achana na mabasi ya kichina.
Shukrani.Dar lux sio scania japo body ni marcopolo tahmd ni scania body ya master fabricator rungwee ni scania body gemilang.Yote kwa yote Dar express anastahili kupongezwa hajawai kuleta bus za kichina kwenye biashara yake.
Naogopa sana biashara ya usafiri. Ajali ikitokea tu hata kama wazi dhahir kabisa ni uzembe wa dereva wabongo watasema tu umetoa kafara na wanajustify kwa nguvu kabisa uzushi wao.
Watanzania wengi sio watumiaji wa usafili huo wacha tuongelee hali zetuAirbus A220-300 ipo mbioni kuwasili bongoland. Achana na mabasi ya kichina.
Kama n mabasi mazuri Songea to Dar ndio wanabasi nzuri sana Superfeo,Selou na New force.mikoa ya kaskazini hasa Kilimanjaro ndio inaongoza kuwa na mabasi imara
yote kwa yote karibia kampuni zote za mabasi za tz ni za watu wa kaskazn mainly Kilimanjaro mifano michache
kidia one
Kilimanjaro exp
hai exp
happy national
Osaka
prince muro
lucky star
BM
mtei exp
machame safari
lim safari
meridian exp
tilisho exp
mghamba exp
ngorika exp
Simba mtoto
hapa ni kwa uchache tu
cc
britanicca
falcon mombasa
Hiyo ni Scaniambona na lenyewe kama mchina tu sema badala ya kuandikwa ZHONGTONG litakuwa limeandikwa DAREX-TONG!
sema DAR EXPRESS KAFULIA SANA MAMBO darlux weeeee wacha kabisaaaa
Kweli kabisa route ya songea hakuna bus la hovyo yote yamesimamaKama n mabasi mazuri Songea to Dar ndio wanabasi nzuri sana Superfeo,Selou na New force.
Wanaweza kufuata Njombe to Dar nako hakuna gari mbaya kwa ruti hii labda Upendo
Sio kweli kuwa kuwa wamiliki wengi wa mabasi wanatokea Kilimanjaro/Arusha labda huna exposure ya kutosha.
Kila upande una makampuni ya kutosha ya mabasi kwa mfano mwanza makampuni mengi yanamilikiwa na watu wa kanda ya ziwa,Arusha na Moshi makampuni mengi ya upande huo yanamilikiwa na wazawa wa huko,Mbeya Iringa na Njombe makampuni mengi yanamulikiwa na wazawa likewise Ruvuma na Mtwara
Kama n mabasi mazuri Songea to Dar ndio wanabasi nzuri sana Superfeo,Selou na New force.
Wanaweza kufuata Njombe to Dar nako hakuna gari mbaya kwa ruti hii labda Upendo
Sio kweli kuwa kuwa wamiliki wengi wa mabasi wanatokea Kilimanjaro/Arusha labda huna exposure ya kutosha.
Kila upande una makampuni ya kutosha ya mabasi kwa mfano mwanza makampuni mengi yanamilikiwa na watu wa kanda ya ziwa,Arusha na Moshi makampuni mengi ya upande huo yanamilikiwa na wazawa wa huko,Mbeya Iringa na Njombe makampuni mengi yanamulikiwa na wazawa likewise Ruvuma na Mtwara
Kwa route zote zinazotumia semi luxurious buses mabasi mazuri yapoMazuri kufananisha na route ya kaskazini au
ni aina gani hiyo , ni Yu Tong ?... Kilimanjaro, Tahmeed ! Leteni magari yanayoeleweka , ya kichina kila siku mnatuchomea watu Na mizigo yetu!View attachment 968642View attachment 968643
Scania.ni aina gani hiyo , ni Yu Tong ?
Safi sana !Scania.
Napenda kusifiwa na kuonekana kwenye front page kila siku.Japo nilikuwa mkosoaji wa safari za Jakaya nje ya nchi, naona afadhali kuliko Jiwe anayetusumbua na uzinduzi kila siku.
Mawaziri wawepo, Speaker wa Bunge, Waziri Mkuu, Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Wanafunga barabara Jiwe apite. Saa ngapi za kazi zinapotea?
Kuzindua yeye, kuweka jiwe ka msingi yeye. Hivi Watanzania hatuna kazi za kufanya?
Ndiyo shida yakeNapenda kusifiwa na kuonekana kwenye front page kila siku.
mkuu jitahidi uwe 1 wao wa wanaomiliki #itakuwa vibaya kusifia shule yenu imekua ya 1 akati wewe umepata div 4 #Tz katika route zote zinazoeleweka hakuna route ambayo haina tajiri anaetokea kilimanjaro hakuna. watu wa kaskazini wameushika uchumi nyuma ya shombe shombe.
Kumbuka Makampuni n mengi kwa mfano Kanda ya ziwa na Kigoma,Tabora na Dodoma,Lindi Mtwara,Iringa,Njombe na Songea,Mbeya na RukwaNgapulila
mkuu nimekuambia hebu angalia ktk makampuni yote ya mabasi utagundua mengi karibu 50% pekee yanamilikiwa na watu wa kaskazn,hata route tofauti na za kaskzn
mfano mbeya dar
Kuna Prince muro,happy national,hai exp,luck star zote za wachaga,ukija dar mwanza utakuta kina kidia one,happy national,ukija dar bukoba unakuta kina osaka,muro,karibia route zote yapo mabasi ya wachaga
Hizi Ni model ya CRYSTAL ila kubwa zake,Kumbe Kama zile za modern coast
Na marcopolo ya DAR LUX sijaona mahali imeandikwa SCANIA sijui model gani ile!!Sio mabus yote yenye body za marcopolo ni scania mengine yana body ya marcopolo injini imeundwa china au india.