Ili kuleta msisimko zaidi ya mechi hiyo ingependeza refa awe mwanaume, maana hii ni zaidi ya mechi hapa Bongo.
Iko wazi wenzetu jisia ya kike hawawezi kuhimili mikimiki ya mechi ngumu kama hizi.
Tuliona kule tanga kilicho tokea, na tunaendelea kuona kwenye mechi nyingi tu zinazo chezeshwa na marefa wa kike pressure huwa juu kwa waamuzi hao.
Sasa ili kuondoa lawama zisizo na sababu, ni kheri mechi hii ichezeshwe na mwamuzi wakiume.
Binafsi nilipendelea show hii isimamiwe na RAMADHANI KAYOKO.
Huyu mwamba huwa hana masikhara kabisa, na nikati ya marefa wachache wenye kuhimili pressure ya mchezo.
NAWASILISHA.