paulbjerk
Member
- Mar 7, 2013
- 6
- 1
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere, lakini siwafahamu wengine, wala kujua askari mzungu ni nani. Asanteni kwa msaada wowote. Paulo